HOCKEY NEWS

Kenya yazidi kuporomoka katika kombe la bara Afrika.

Huku mashindao ya kufuzu kwa kombe la dunia katika mchezo wa magongo ukiingia siku yake ya pili mjini Ismailia, nchini Misri, wawakilishi wa Kenya wamezidi kuandikisha matokeo duni katika shindano hilo na kuendelea kudidimiza matumaini ya nchi yetu kuwa n